الفاتحة

Al-Fatihah

Sura ya 1 · ya Makka · aya 7 · Mpangilio wa kuteremshwa: 5

Hati
Tafsiri

Gusa neno la Kiarabu ili kuona usomaji, muundo na mzizi wake.

  1. Ali Muhsin Al-BarwaniKWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniSifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniMwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniMwenye Kumiliki Siku ya Malipo.
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniWewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniTuongoe njia iliyo nyooka,
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniNjia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.