الكوثرAl-Kawthar Sura ya 108 · ya Makka · aya 3 · Mpangilio wa kuteremshwa: 15 HatiYenye irabuBila irabuKiunzi Maana ya maneno Matamshi kwa herufi za Kilatini TafsiriAli Muhsin Al-BarwaniRowwad Translation Center+ Gusa neno la Kiarabu ili kuona usomaji, muundo na mzizi wake. بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ108:1إِنَّآأَعْطَيْنَٰكَٱلْكَوْثَرَ١Ali Muhsin Al-BarwaniHakika tumekupa kheri nyingi.108:2فَصَلِّلِرَبِّكَوَٱنْحَرْ٢Ali Muhsin Al-BarwaniBasi sali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi.108:3إِنَّشَانِئَكَهُوَٱلْأَبْتَرُ٣Ali Muhsin Al-BarwaniHakika anaye kuchukia ndiye aliye mpungufu. Sura iliyotanguliaAl-Ma'unSura inayofuataAl-Kafirun