الماعون

Al-Ma'un

Sura ya 107 · ya Makka · aya 7 · Mpangilio wa kuteremshwa: 17

Hati
Tafsiri

Gusa neno la Kiarabu ili kuona usomaji, muundo na mzizi wake.

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniJe! Umemwona anaye kadhibisha Malipo?
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniHuyo ndiye anaye msukuma yatima,
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniWala hahimizi kumlisha masikini.
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniBasi, ole wao wanao sali,
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniAmbao wanapuuza Sala zao;
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniAmbao wanajionyesha,
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniNao huku wanazuia msaada.