النصر

An-Nasr

Sura ya 110 · ya Madina · aya 3 · Mpangilio wa kuteremshwa: 114

Hati
Tafsiri

Gusa neno la Kiarabu ili kuona usomaji, muundo na mzizi wake.

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniItakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi,
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniNa ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi,
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniZitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba.