المسد

Al-Masad

Sura ya 111 · ya Makka · aya 5 · Mpangilio wa kuteremshwa: 6

Hati
Tafsiri

Gusa neno la Kiarabu ili kuona usomaji, muundo na mzizi wake.

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniImeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia.
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniHayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma.
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniAtauingia Moto wenye mwako.
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniNa mkewe, mchukuzi wa kuni,
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniShingoni mwake iko kamba iliyo sokotwa.