الناس

An-Nas

Sura ya 114 · ya Makka · aya 6 · Mpangilio wa kuteremshwa: 21

Hati
Tafsiri

Gusa neno la Kiarabu ili kuona usomaji, muundo na mzizi wake.

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniSema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu,
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniMfalme wa wanaadamu,
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniMungu wa wanaadamu,
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniNa shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas,
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniAnaye tia wasiwasi katika vifua vya watu,
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniKutokana na majini na wanaadamu.