الفلق
Al-Falaq
Hati
Tafsiri
Gusa neno la Kiarabu ili kuona usomaji, muundo na mzizi wake.
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
- Ali Muhsin Al-BarwaniSema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko,
- Ali Muhsin Al-BarwaniNa shari ya alivyo viumba,
- Ali Muhsin Al-BarwaniNa shari ya giza la usiku liingiapo,
- Ali Muhsin Al-BarwaniNa shari ya wanao pulizia mafundoni,
- Ali Muhsin Al-BarwaniNa shari ya hasidi anapo husudu.