العصرAl-'Asr Sura ya 103 · ya Makka · aya 3 · Mpangilio wa kuteremshwa: 13 HatiYenye irabuBila irabuKiunzi Maana ya maneno Matamshi kwa herufi za Kilatini TafsiriAli Muhsin Al-BarwaniRowwad Translation Center+ Gusa neno la Kiarabu ili kuona usomaji, muundo na mzizi wake. بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ103:1وَٱلْعَصْرِ١Ali Muhsin Al-BarwaniNaapa kwa Zama!103:2إِنَّٱلْإِنسَٰنَلَفِىخُسْرٍ٢Ali Muhsin Al-BarwaniHakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara,103:3إِلَّاٱلَّذِينَءَامَنُوا۟وَعَمِلُوا۟ٱلصَّٰلِحَٰتِوَتَوَاصَوْا۟بِٱلْحَقِّوَتَوَاصَوْا۟بِٱلصَّبْرِ٣Ali Muhsin Al-BarwaniIla wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri. Sura iliyotanguliaAt-TakathurSura inayofuataAl-Humazah