الفيل

Al-Fil

Sura ya 105 · ya Makka · aya 5 · Mpangilio wa kuteremshwa: 19

Hati
Tafsiri

Gusa neno la Kiarabu ili kuona usomaji, muundo na mzizi wake.

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniKwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo watenda wale wenye tembo?
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniKwani hakujaalia vitimbi vyao kuharibika?
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniNa akawapelekea ndege makundi kwa makundi,
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniWakiwatupia mawe ya udongo wa Motoni,
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniAkawafanya kama majani yaliyo liwa!