قريش

Quraysh

Sura ya 106 · ya Makka · aya 4 · Mpangilio wa kuteremshwa: 29

Hati
Tafsiri

Gusa neno la Kiarabu ili kuona usomaji, muundo na mzizi wake.

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniKwa walivyo zoea Maqureshi,
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniKuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto.
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniBasi nawamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii,
  1. Ali Muhsin Al-BarwaniAmbaye anawalisha wasipate njaa, na anawalinda na khofu.