الإخلاصAl-Ikhlas Sura ya 112 · ya Makka · aya 4 · Mpangilio wa kuteremshwa: 22 HatiYenye irabuBila irabuKiunzi Maana ya maneno Matamshi kwa herufi za Kilatini TafsiriAli Muhsin Al-BarwaniRowwad Translation Center+ Gusa neno la Kiarabu ili kuona usomaji, muundo na mzizi wake. بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ112:1قُلْهُوَٱللَّهُأَحَدٌ١Ali Muhsin Al-BarwaniSema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.112:2ٱللَّهُٱلصَّمَدُ٢Ali Muhsin Al-BarwaniMwenyezi Mungu Mkusudiwa.112:3لَمْيَلِدْوَلَمْيُولَدْ٣Ali Muhsin Al-BarwaniHakuzaa wala hakuzaliwa.112:4وَلَمْيَكُنلَّهُۥكُفُوًاأَحَدٌۢ٤Ali Muhsin Al-BarwaniWala hana anaye fanana naye hata mmoja. Sura iliyotanguliaAl-MasadSura inayofuataAl-Falaq